Перейти к содержимому

ZAIDI YA BILIONI 5/ AJIRA ZAIDI YA LAKI NNE KWA VIJANA KUPITIA SANAA

Esbn Tv

0:00 / 0:00

ZAIDI YA BILIONI 5/ AJIRA ZAIDI YA LAKI NNE KWA VIJANA KUPITIA SANAA

41 просмотр · 3 дн. назад
Esbn Tv
53 подписчика
41 просмотр · 3 дн. назад
Studio za ESBNTV zilipata wasaa wa kufanya mahojiano ya kipekee na Ndugu Jessica Mshama Mjumbe wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) na Mkurugenzi wa Taasisi ya Nakua na Taifa Langu. Katika mazungumzo haya yenye tija kubwa, tumeangazia mambo muhimu yanayowagusa vijana na maendeleo ya Taifa: Kukuza sekta ya sanaa na namna ushindi wa Miss Grand International unavyoitangaza Tanzania duniani. Fursa za ujasiriamali na ajira kwa vijana ndani na nje ya nchi kupitia tasnia ya ubunifu. Nafasi ya sanaa na utamaduni katika kulinda na kudumisha maadili ya jamii yetu. Jinsi mwananchi wa kawaida na msanii anavyonufaika na BASATA. Je, wewe kama kijana unajipangaje kuzichangamkia fursa hizi? Usikose kufuatilia mahojiano haya kamili yatakayokujia hivi karibuni kupitia ESBN TV. #podcast #publicservice #communitydevelopment #motivation #inspiration #realtalk #talkshow