Перейти к содержимому

Mungu nawe nanyi daima | God Be With You Till We Meet Again | Nyimbo za Kristo

Nyimbo za kristo Hymnal

0:00 / 0:00

Mungu nawe nanyi daima | God Be With You Till We Meet Again | Nyimbo za Kristo

5 976 просмотров · 6 мес. назад
Nyimbo za kristo Hymnal
4,61 тыс. подписчиков
5 976 просмотров · 6 мес. назад
Lyrics [Verse 1] Mungu nawe nanyi daima; hata twonane ya pili, Awachunge kwa fadhili, Mungu nawe nanyi daima. Chorus Hata twonane juu, hata twonane tena kwake; Hata twonane juu, Mungu nawe nanyi daima. [Verse 2] Mungu nawe nanyi daima; awafunike mabawa, Awalishe, awakuze; Mungu nawe nanyi daima. [Verse 3] Mungu nawe nanyi daima; kila wakati wa shida Awalinde hifadhini; Mungu nawe nanyi daima. [Verse 4] Mungu nawe nanyi daima; awabariki na pendo Ambalo halina mwisho; Mungu nawe nanyi daima.