AGIFT,Azania Benki Waingia Makubaliano Kuongeza Upatikanaji Mikopo kwa Wakulima,Wanawake na Vijana
The Chanzo
0:00 / 0:00
AGIFT,Azania Benki Waingia Makubaliano Kuongeza Upatikanaji Mikopo kwa Wakulima,Wanawake na Vijana
379 просмотров · 3 дня назад
The Chanzo
262 тыс. подписчиков
379 просмотров · 3 дня назад
Dodoma: Wakulima wadogo, wanawake na vijana wanatarajiwa kunufaika na upatikanaji wa mikopo ya kilimo kufuatia makubaliano yaliyofikiwa kati ya Mfuko wa Udhamini wa Pembejeo za Kilimo AGITF na Benki ya Azania. Ushirikiano huo unalenga kuwawezesha wakulima kupata mitaji itakayowasaidia kuboresha shughuli zao, kuongeza uzalishaji na kuinua kipato.
Mkurugenzi Mtendaji wa AGITF, Mwanahiba Mzee amesema, mfuko huo unapanua ushirikiano na taasisi za fedha ili kuwafikia wakulima wengi zaidi.
Meneja Mwandamizi wa Biashara za Kilimo na Biashara Ndogo wa Benki ya Azania, Augustino Matutu, amesisitiza umuhimu wa wakulima kutambua masoko ya mazao yao kabla ya kutumia mikopo kuongeza uzalishaji.
Imeandaliwa na Jackline Kuwanda/Dodoma
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Kutuunga mkono: https://thechanzo.com/support/
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2026 © All Rights Reserved.