Перейти к содержимому

Tazameni Meza ya Bwana - Tumuimbie Bwana Labs (D.Kalolela)

Tumuimbie Bwana Labs

0:00 / 0:00

Tazameni Meza ya Bwana - Tumuimbie Bwana Labs (D.Kalolela)

7 464 просмотра · 4 недели назад
Tumuimbie Bwana Labs
361 тыс. подписчиков
7 464 просмотра · 4 недели назад
Tazameni meza ya Bwana, inapendeza (kama nini) Bwana Yesu ameandaa leo karamu kubwa (kweli kweli) Ni chakula chenye uzima chakula cha roho *2 Bwana alivyo mkarimu kautoa mwili wake Kautoa kama chakula cha wokovu wetu Mwili wa Bwana Yesu ni chakula ni chakula bora cha uzima Damu yake Bwana Yesu ni kinywaji cha kweli Bwana ametualika, sote tujongee mezani Tukale chakula cha uzima wa roho zetu