Mwili wa Bwana yesu Chakula cha Mbingu - Tumuimbie Bwana Labs (F.A.Nyundo)
Tumuimbie Bwana Labs
0:00 / 0:00
Mwili wa Bwana yesu Chakula cha Mbingu - Tumuimbie Bwana Labs (F.A.Nyundo)
7 526 просмотров · 1 месяц назад
Tumuimbie Bwana Labs
361 тыс. подписчиков
7 526 просмотров · 1 месяц назад
Maneno ya wimbo
1. Mwili wa Bwana Yesu chakula mbingu
Ni chakula cha roho chenye uzima
Hima uwe nasi Ee Bwana Yesu
Ukatushibishe chakula bora
2. Yesu alitwambia, yeye ni chakula,
Ni chakula cha Roho, chenye uzima.
Anilaye mimi, na kunywa damu,
anao uzima, wa siku zote,
Ni chakula cha Roho, chenye uzima.
3. Yesu alitwambia, kuwa tumpokee,
Ni chakula cha Roho, chenye uzima.
Sote twaamini, ni mwili wake,
Pia twaamini ni damu yake,
Ni chakula cha Roho, chenye uzima.
4. Hii ndiyo karamu, aliyotwachia,
Ni chakula cha Roho, chenye uzima.
Ee Bwana mwokozi, tunakuomba,
Kwa chakula hiki, tuimarike,
Ni chakula cha Roho chenye uzima