Salamu Maria - Tumuimbie Bwana Labs (Nyimbo za Mama Bikira Maria)
Tumuimbie Bwana Labs
0:00 / 0:00
Salamu Maria - Tumuimbie Bwana Labs (Nyimbo za Mama Bikira Maria)
11 587 просмотров · 1 месяц назад
Tumuimbie Bwana Labs
361 тыс. подписчиков
11 587 просмотров · 1 месяц назад
SALAMU MARIA
Salaam Maria, salaam Mama, Mama Maria
Kiongozi wetu ni wewe, Salaam mama, Mama Marai
Salaam , Mama(Mama), Mama Maria (Mama)
Salaam Maria,salaam Mama, Mama Maria
Umejaa neema nyingi, Salaam Mama, Mama Maria
Utuombee kwa Mwanao, Salaam Mama, Mama Maria