Перейти к содержимому

MVUA YA UPEPO YABOMOA NYUMBA 52 RUANGWA

ufmradiotz

0:00 / 0:00

MVUA YA UPEPO YABOMOA NYUMBA 52 RUANGWA

89 просмотров · 8 месяцев назад
ufmradiotz
180 тыс. подписчиков
89 просмотров · 8 месяцев назад
Zaidi ya kaya 52 za wilayani Ruangwa mkoani Lindi zimekosa makazi kufuatia nyumba zao kuathiriwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo iliyonyesha kwa muda mfupi jana Januari, 13, 2026. Kwa mujibu wa taarifa ya athari za mvua hizo, baadhi ya nyumba zimebomoka na nyingine zimeezuliwa mapaa. Mhariri | @rajjmsangi #UFMUpdates