Перейти к содержимому

“NIKO TAYARI KUJIUZULU, NIKITHIBITIKA NIMEMLETA" - LEMA ATOA SHARTI KWA CHADEMA

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

“NIKO TAYARI KUJIUZULU, NIKITHIBITIKA NIMEMLETA" - LEMA ATOA SHARTI KWA CHADEMA

1 243 просмотра · 5 ч назад
TMC NEWS TV
42,6 тыс. подписчиков
1 243 просмотра · 5 ч назад
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, amekanusha tuhuma zinazomhusisha na kumleta mtu anayedaiwa kuwa na uhusiano na kiongozi wa Serikali ndani ya chama hicho, akisema madai hayo yakithibitika kuwa kweli na kwamba yeye ndiye aliyemleta mtu huyo, yuko tayari kujiuzulu nafasi zote za uongozi ndani ya CHADEMA na kurejea kwenye shughuli zake binafsi. Lema amehoji pia namna mtu huyo alivyoingia ndani ya chama na viongozi aliokutana nao, akisisitiza kuwa suala hilo linapaswa kuwekwa wazi. Katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Arusha, Lema ametetea umuhimu wa strategic engagement mawasiliano na mazungumzo ya kimkakati na viongozi wa Serikali, wanadiplomasia na wadau wengine akisema si usaliti bali ni njia ya kutafuta suluhisho na kusaidia Tundu Lissu pamoja na wanachama wengine wanaokabiliwa na kesi. Ameeleza juhudi zake za kuwasiliana na wabunge saba wa Uingereza na kutafuta nafasi ya kuzungumza na Mufti ili kueleza mtazamo wa CHADEMA, akilalamikia mazingira yanayofanya hata juhudi hizo za mawasiliano kutafsiriwa kama usaliti. TMC NEWS | Shaping The Future Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani. 🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu. 📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni: 📧 tmcnewsmedia@gmail.com 📞 +255 674 075 414 🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia #tmcnews565 #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#GodblessLema #CHADEMA #TunduLissu #FreemanMbowe #StrategicEngagement #SiasaZaTanzania #TanzaniaPolitics #Arusha