Перейти к содержимому

Mwanamke Bomba | Linah aliwacha ajira na kugeukia biashara ya tuktuk

Citizen TV Kenya

0:00 / 0:00

Mwanamke Bomba | Linah aliwacha ajira na kugeukia biashara ya tuktuk

6 264 просмотра · 2 года назад
Citizen TV Kenya
6,68 млн подписчиков
6 264 просмотра · 2 года назад
Kwenye mwanamke bomba wiki hii tunamuangazia Linah Momanyi kutoka kaunti ya Mombasa. Linah alichukua hatua ya kuacha ajira mwaka 2012 Na kugeukia Biashara ya tuktuk mjini Mombasa. Bidii yake imempa ufanisi na sasa anamiliki zaidi ya tuktuk 50,duka la vipuri, Karakana Na pia amewapa ajira vijana kwa zaidi ya Miaka 10 sasa