MTOTO AFARIKI MAPOKEZI KISA MALIPO MKOANI GEITA/ DC ATOA MAAGIZA MAMA WA MTOTO AFUNGUKA MAZITO
ITV Tanzania
0:00 / 0:00
MTOTO AFARIKI MAPOKEZI KISA MALIPO MKOANI GEITA/ DC ATOA MAAGIZA MAMA WA MTOTO AFUNGUKA MAZITO
1 692 просмотра · 1 день назад
ITV Tanzania
1,37 млн подписчиков
1 692 просмотра · 1 день назад
Mkuu wa Wilaya ya Geita mkoani Geita, Hashimu Komba ameviagiza vyombo vya dola kuchunguza tukio la mama kufiwa na mtoto wake katika mapokezi ya Hosipitali ya Wilaya ya Geita, baada ya wahudumu katika hospitali hiyo kushindwa kumpokea na kumpatia matibabu kwa zaidi ya saa tatu kwa madai kuwa mpaka mama atakapokamilisha malipo ya kufungua jalada la mgonjwa pamoja na kulipa fedha za awali.
Mama huyo aliyefiwa na mtoto wake amefika katika mkutano wa hadhara wa Mkuu wa Wilaya ya Geita katika eneo la Nzela na kumwomba Mkuu huyo wa Wilaya kuchukua hatua kwa watumishi waliokataa kumpokea mtoto wake akiwa mgonjwa na kupelekea kufariki dunia.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg