Перейти к содержимому

KATAMBI MFUMO WA ALAMA ZA LESENI NI MAJARIBIO

ITV Tanzania

0:00 / 0:00

KATAMBI MFUMO WA ALAMA ZA LESENI NI MAJARIBIO

1 027 просмотров · 20 часов назад
ITV Tanzania
1,37 млн подписчиков
1 027 просмотров · 20 часов назад
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mheshimiwa Patrobass Katambi ametoa ufafafnuzi kuhusu kanuni za Usalama Barabarani za mwaka 2014 zilizorekebishwa mwaka 2025 ambapo amesema kinachofanyika ni majaribio ya namna mfumo huo utakavyoweza kutumika ili kudhibiti madereva wasiotii sheria na kanuni za usalama barabarani. Waziri Katambi amewatoa hofu madereva kwamba mfumo huo bado aujaanza kutekelezwa rasmi hivyo hakuna haja ya dereva yoyote ambae leseni yake imeondolewa alama kutokana na kosa aliloandikiwa tozo kuwa na wasiwasi. Kwa mujibu wa Sheria ya Usalama Barabarani,Sura ya 168 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi anayo mamlaka ya kutunga kanuni kuhusu masuala yanayohusu Usalama Barabarani kwa ajili ya kupunguza wimbi la ajali za Barabarani zinazotokana na sababu mbalimbali ikiwemo makosa ya kibinadamu yanayosababishwa na watumiaji wa Vyombo vya usafiri na Usafirishaji. Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg