SHAJARA | Matumizi ya dawa-kinga kuzuia maambukizi ya VVU
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
SHAJARA | Matumizi ya dawa-kinga kuzuia maambukizi ya VVU
422 просмотра · 1 год назад
UTV Tanzania
182 тыс. подписчиков
422 просмотра · 1 год назад
Meneja Uboreshaji Ubora MDH (Management and Development for Health) Dkt, Salim Jabir amesema matumizi ya dawa-kinga yamegawanyika katika makundi maalumu ya wenza,wajawazito na watu wenye mazingira hatarishi kama vituo vy afya.
Pia ameongeza kwa kusema matumizi ya dawa -kinga yawe sahihi kwa kuzingatia makundi maalumu ili kuepusha madhara.
Mhariri | Nifa Omary, Claud Mshana