Перейти к содержимому

Kwa 50k Tu! Tukale Kiasili Porini Zanzibar

Imran Jape

0:00 / 0:00

Kwa 50k Tu! Tukale Kiasili Porini Zanzibar

2 375 просмотров · 8 ч назад
Imran Jape
4,63 тыс. подписчиков
2 375 просмотров · 8 ч назад
Je, unaweza kupata chakula cha asili, muziki wa Taarab na kufurahia mazingira ya asili Zanzibar kwa Tsh 50,000 tu? Safari hii nimeenda kutembelea sehemu ya kipekee Zanzibar ambapo tumepata nafasi ya kufurahia chakula cha asili kilichoandaliwa kwa kutumia mazao ya shambani, kusikiliza muziki wa Taarab na kufurahia utamaduni wetu. Kilichonivutia zaidi ni namna wanavyohifadhi utamaduni wa Kiswahili kupitia chakula, muziki na mazingira ya asili. Je, wewe ungependa kupata experience kama hii kwa Tsh 50,000 tu? Karibu tufurahie Zanzibar kwa namna tofauti!