MARAH - SIMULIZI FUPI
Lumbasi Simulizi
0:00 / 0:00
MARAH - SIMULIZI FUPI
26 065 просмотров · 10 мес. назад
Lumbasi Simulizi
22,6 тыс. подписчиков
26 065 просмотров · 10 мес. назад
Na hivyo ndivyo siku zilivyosogea, kila siku nilichoka zaidi hivyo nilisogeza mbele swala la kutafuta nyumba na taratibu nilianza kuzoea maisha ya pale japokuwa kila siku maneno ya Frida yalikuwa yale yale lakini kwa wakati huu hata wale wadada wengine angalau walikuwa wananiongelesha wakati huu.