Перейти к содержимому

Rais Ruto asema atatimiza yote aliyowaahidi Wakenya

Undugu TV

0:00 / 0:00

Rais Ruto asema atatimiza yote aliyowaahidi Wakenya

25 просмотров · 1 дн. назад
Undugu TV
11,3 тыс. подписчиков
25 просмотров · 1 дн. назад
Rais William Ruto ameshikilia kuwa serikali yake itatimiza yote aliyowaahidi wakenya, huku akipuuzilia wapinzani wake kwa tetesi kuwa anaahidi yale asiyotimiza. Akizungumza alipoandamana na baadhi ya viongozi wa Kenya Kwanza katika ziara yake kaunti ya Nandi na Uasin Gishu, wamemtaka rais mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa na heshima kwa rais aliye mamlakani, na ni kinaya kutaja Ruto hakushinda uchaguzi uliopita ilhali alimpa Rais Ruto vifaa vya kazi.