Makonda azungumzia jezi mpya za taifa stars
Xtra 90 TV
0:00 / 0:00
Makonda azungumzia jezi mpya za taifa stars
105 просмотров · 13 дней назад
Xtra 90 TV
64 подписчика
105 просмотров · 13 дней назад
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ametoa kauli kuhusu jezi za Taifa Stars zilizozinduliwa hivi karibuni, akisema mjadala haupaswi kuzunguka kutetea muonekano wa jezi hizo.
Makonda amesema:
“Jezi mbaya, yani sio suala la kumumunya jezi mbaya. Hata kama mkiipiga na dodoki vipi, hata mkitafuta watu gani waongee, hata mtafute mikakati ipi, sikilizeni jezi ni mbaya. Cha msingi hangaikeni kufanya jezi iwe nzuri.”