Перейти к содержимому

JEZI NI MBAYA ATANILIVYOZIONA NILISHANGA WAZIRI MAKONDA

GonzagaTv

0:00 / 0:00

JEZI NI MBAYA ATANILIVYOZIONA NILISHANGA WAZIRI MAKONDA

18 просмотров · 12 дн. назад
GonzagaTv
108 подписчиков
18 просмотров · 12 дн. назад
‎Nimefatilia hili sakata la jezi, lenye pande tatu, Sanderland, TFF na waziri wa michezo. ‎Nina maswali kadhaa nimejiuliza. ‎ ‎Mzabuni alipewa tenda na nani hasa, TFF au Wizara ya Michezo? Na nani alikuwa na mamlaka ya mwisho kusaini mkataba? ‎ ‎Kama mkataba ni kati ya TFF na Sanderland, Waziri ana mamlaka gani kisheria ya kuikataa bidhaa hiyo? ‎ ‎Je, ni mamlaka ya kuvunja mkataba au ni mamlaka ya kutoa maelekezo kwa TFF? ‎ ‎Tender document iliweka vigezo gani vya ubora wa jezi? ‎ ‎Na je, jezi zilizokataliwa zilishindwa kipengele gani kilichoandikwa kwenye mkataba? ‎ ‎Jezi zilikataliwa kwa sababu hazina ubora unaotakiwa, au hazikidhi technical specifications zilizokubaliwa kwenye tender? Hivi ni vitu viwili tofauti. ‎ ‎Nani alikagua na kuidhinisha sampuli ya jezi kabla ya mzabuni kuanza kuzalisha kwa wingi? ‎ ‎Kama sampuli iliidhinishwa mwanzo, ni nini kilibadilika? ‎ ‎Kama Waziri aliona jezi hazina ubora, kulikuwa na ukaguzi wa kitaalamu, quality control report unaothibitisha hilo, au ni tathmini ya macho na maoni? ‎ ‎Ikiwa TFF tayari ilimpa Sanderland tenda halali, nani atawajibika endapo serikali itaagiza jezi zibadilishwe au mkataba usiendele, TFF, Wizara, au mzabuni?