Hosana Juu (Jumapili ya Matawi 2021)
Kimatu Music Compositions
0:00 / 0:00
Hosana Juu (Jumapili ya Matawi 2021)
26 462 просмотра · 5 лет назад
Kimatu Music Compositions
2,94 тыс. подписчиков
26 462 просмотра · 5 лет назад
Hosana Juu- Jumapili ya matawi2021; ni mkusanyiko wa nyimbo zinazoimbwa wakati wa Jumapili ya matawi ambapo tunaadhimisha Yesu alipoingia Yerusaleme akipanda mwana punda. Alhamisi Kuu • Alhamisi Kuu 2021 (Kuabudu Ekaristi) Hii ilikuwa kabla ya mateso na kifo chake Yesu Kristu msalabani.
Jumapili ya Matawi/Mitende tunatandika nguo na matawi chini ili Bwana Yesu apite akiwa amepanda mwana punda. Yesu anakaribishwa Yerusaleme kwa furaha na taadhima; lakini muda si muda; Yesu anaanza kusulibiwa.
Jumapili ya matawi inafungua wiki takatifu ambamo tuna Alhamisi kuu; Ijumaa Kuu na Pasaka.