Перейти к содержимому

UZINDUZI WA KITABU| SASA NINAJUA: Falsafa 21 za Maisha

Lux Fidei

0:00 / 0:00

UZINDUZI WA KITABU| SASA NINAJUA: Falsafa 21 za Maisha

560 просмотров · 3 нед. назад
Lux Fidei
1,15 тыс. подписчиков
560 просмотров · 3 нед. назад
Ktika maisha ya Mwanadamu daima ana shahuku ya kujua mambo, ndomana tunapenda kujua siri zilizofichwa, Wapendwa katika video hii, Padre Benjamin Maganga Bundala anakualika katika UZINDUZI WA KITABU CHA FALSAFA; SASA NINAJUA; Falsafa 21 za miasha Kilichoandikwa na Frt. Aman Lymo, Mseminari wa Jimbo kuu la Dar es salaam, siku ya jumamosi tar 19 Septemba pale San Damiano Msimabazi #Luxfidei