Перейти к содержимому

Mfano wa Wakulima:mchezo wa Kuigiza wa Uhuru wa Mwanadamu

Lux Fidei

0:00 / 0:00

Mfano wa Wakulima:mchezo wa Kuigiza wa Uhuru wa Mwanadamu

310 просмотров · 6 дн. назад
Lux Fidei
1,15 тыс. подписчиков
310 просмотров · 6 дн. назад
Wapendwa Dominika ya 27 mwaka A: Yesu anatupatia Mfano mwengine wa Ufalme wa Mbinguni kuwa unafanana na mfalme mmoja aliyekodisha shamba lake kwa wakulima akisubiria Mavuno ya matunda yake lakini cha kushangaza Aliwatuma watumwa wake na mwanae mpendwa wote waliuawa na wakulima dhalimu. Je mfalme ni nani? Wakulima na watumishi na mwana wake Mpendwa ni akina nani kwetu? Karibu katika Tafakari Dominika hii ya 27 mwaka A ambapo Pd. Benjamin Maganga Bundala atatupitisha na kutumegea neno la Mungu kwa kina na kufahamu nini maana ya mfano huu... Karibu sana #LuxFidei #catholicproductions #Wordonfire #St. Paul's Centre #Luxfidei #MwangawaImani