MAUAJI YA MAMA NA MTOTO YAIBUA TAHARUKI KILOSA
ITV Tanzania
0:00 / 0:00
MAUAJI YA MAMA NA MTOTO YAIBUA TAHARUKI KILOSA
1 766 просмотров · 1 месяц назад
ITV Tanzania
1,37 млн подписчиков
1 766 просмотров · 1 месяц назад
Watu wawili akiwemo Bi. Asha Lukonge (37) na mtoto mdogo Hashimu Mkeza mwenye miezi (9) wameuawa kikatili kwa kunyongwa na anayedaiwa kuwa ni mtoto wa kaka mwenye familia hiyo Bw. Jackson Andason, anayekadiriwa kuwa na miaka (20-25) kisha kuiba mahindi gunia nane na kuyauza, huku akitokomea kusiko julikana Katika Kijiji cha Ilakala Kata ya Mhenda wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro.
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania
Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3
Twitter : https://bit.ly/2XG7aii
Instagram : https://bit.ly/34KItmg