Перейти к содержимому

Tumia mbinu ya '20-20-20' kulinda macho yako

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Tumia mbinu ya '20-20-20' kulinda macho yako

123 просмотра · 2 дня назад
UTV Tanzania
185 тыс. подписчиков
123 просмотра · 2 дня назад
Inawezekana unajiuliza kuwa mbinu ya 20-20-20 inahusiana vipi na kutunza uhai wa macho na inafanyaje kazi? Majibu ya maswali hako yanaelezwa na Daktari Bingwa Mbobezi wa Upasuaji Rekebishi wa Macho, Dkt. Nicholaus Chaula ambaye anafafanua ni kwa namna gani mbinu ya 20-20-20 inasaidia kulinda afya ya macho yako.