PART 02 - WIVU WANGU
Ankojay Simulizi
0:00 / 0:00
PART 02 - WIVU WANGU
16 315 просмотров · 1 день назад
Ankojay Simulizi
169 тыс. подписчиков
16 315 просмотров · 1 день назад
Yaani Lucy kafurahi mpaka napata hasira ndani ya moyo wangu, nikawa tu natabasamu na kucheka, Lucy hakujua kama kila anachoniambia ndiyo ananichochea moto wa kumuunguza yeye mwenyewe, nikasema ndani yangu