Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 22.10.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 22.10.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast

5 960 просмотров · Трансляция закончилась 6 часов назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
5 960 просмотров · Трансляция закончилась 6 часов назад
Tuliyokuandalia katika Dunia Yetu Leo Mchana: -Tovuti kadhaa nchini Ujerumani zimepata hitilafu kutokana na kitisho kikubwa cha Usalama. Miongoni mwa tovuti zilizoathiriwa ni za serikali, hospitali na vyuo vikuu. -Urusi na Ukraine zimeshambuliana saa chache baada ya kuonyesha utayari wa kurejea katika mazungumzo yanayoratibiwa na Marekani. -Mvutano unaoendelea Mashariki ya Kati unaendelea kuweka eneo hilo katika hali ya sintofahamu, huku macho yakielekezwa kwa Iran, Marekani na Israel pamoja na juhudi mbali mbali za kidiplomasia za kuzuia mapigano kusambaa zaidi. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahili #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'follow' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.