DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 21.10.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 21.10.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
5 509 просмотров · Трансляция закончилась 21 час назад
DW Kiswahili
337 тыс. подписчиков
5 509 просмотров · Трансляция закончилась 21 час назад
Tuliyokuandalia katika Dunia Yetu Leo Jioni:
Mawaziri wa afya kutoka mataifa mbalimbali barani Afrika wamealikwa kushiriki mkutano maalum wa dharura kwa njia ya mtandao siku ya Jumatano kujadili kuenea kwa ugonjwa wa Ebola, baada ya Nigeria kuthibitisha kisa chake cha kwanza.
-Mjumbe maalum wa Marekani, Steve Witkoff, amekutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin mjini St. Petersburg kujadili vita vya Ukraine, huku Rais Donald Trump wa Marekani akiendelea kushinikiza makubaliano ya kusitisha mapigano.
Na Rwanda inatarajiwa kuwa nchi ya kwanza kuanzisha kituo kitakachowapokea baadhi ya wahamiaji wanaofukuzwa kutoka kwenye nchi za Umoja wa Ulaya
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliJioni #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'follow' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.