Перейти к содержимому

WAAKULIMA WA KOROSHO MNAVILA WAOMBA KUREJESHEWA KOROSHO ZAO TANI 174

MASASI ONE ONLINE TV

0:00 / 0:00

WAAKULIMA WA KOROSHO MNAVILA WAOMBA KUREJESHEWA KOROSHO ZAO TANI 174

1 400 просмотров · 3 г. назад
MASASI ONE ONLINE TV
5,41 тыс. подписчиков
1 400 просмотров · 3 г. назад
WAKULIMA wa korosho wa chama cha ushirika na Masoko Mnavila AMCOS wamendelea kupinga bei ya zao hilo na kukiomba chama kikuu cha ushirika wa wakulima wa Masasi, Nanyumbu na Mtwara (MAMCU) kuzirejesha korosho zao licha ya korosho hizo kuingizwa kwenye minada iliyofanyika hivi karibuni kwa madai kuwa bei za msimu huu zinawanyonya wakulima ukilinganisha na ghalama halisi za uandaaji mashamba. Chama cha Mnavila AMCOS chenye wanachama zaidi ya 180 hadi 200 wametoa ombi hilo baada ya kukukabliana pamoja na kumtaka mwenyekiti wa chama hicho kufanya mchakato wa kuzirejesha korosho zao ambazo ni zaidi ya tani 174 ili korosho hizo zisubiri hadi pale wanunuzi wanatakapo nunua kwa bei ambazo zinatija kwa mkulima