FUMBA NA BWELEO WAPINGA UWEKEZAJI UNAOATHIRI MAENEO YAO
ZANZIBAR YETU
0:00 / 0:00
FUMBA NA BWELEO WAPINGA UWEKEZAJI UNAOATHIRI MAENEO YAO
435 просмотров · 3 дн. назад
ZANZIBAR YETU
10,8 тыс. подписчиков
435 просмотров · 3 дн. назад
Wananchi wa Kijiji cha Fumba wamekataa kufanyika kwa tathmini ya maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya uwekezaji, wakieleza kuwa bado kuna utata kuhusu mipaka iliyowekwa.
Wamesema hawakubali uwekezaji unaokwenda kinyume na mila na desturi zao. Wamesisitiza kuwa wanataka maendeleo, lakini yawe na manufaa kwa wananchi wa sasa na vizazi vijavyo, na yazingatie maslahi yao.
Mussa Mohammed Mkadam na Said Issa Kirobo wamesema vijiji vya Fumba na Bweleo vimeathirika na kile wanachokiita uwekezaji huo.