Перейти к содержимому

BITEKO AAGIZA KUKAMATWA VIONGOZI WA KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI HANDENI

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

BITEKO AAGIZA KUKAMATWA VIONGOZI WA KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI HANDENI

2 037 просмотров · 8 лет назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
2 037 просмотров · 8 лет назад
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko ameagiza kukamatwa haraka viongozi wa kampuni ya Tanzania Gold Fields inayohusika kuchimba madini katika mgodi wa Magambazi wilayani Handeni mkoani Tanga, Biteko ametoa agizo hilo Agosti 7 alipofanya ziara kwenye mgodi huo akiwa na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Handeni na kuagiza kusitishwa kwa shughuli zote zinazofanyika katika mgodi wa Magambazi.