Перейти к содержимому

KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA WA MFANYAKAZI WA NYUMBANI NI ELFU 80

Uyui FM Radio

0:00 / 0:00

KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA WA MFANYAKAZI WA NYUMBANI NI ELFU 80

80 просмотров · 11 дней назад
Uyui FM Radio
21,6 тыс. подписчиков
80 просмотров · 11 дней назад
Afisa Uchunguzi na Wakili wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Kanda ya Magharibi, Enea Luswema, amesema wafanyakazi wa majumbani wanapaswa kulipwa Mshahara wa kima cha chini 80,000. Akizungumza leo Septemba 10,2026, kwenye kipindi cha Kifungua Kinywa hapa UFR, Enea amewataka wafanyakazi hao kujiunga na vyama vyao ili kupata uelewa zaidi kuhusu haki zao na namna ya kuzidai. Naye Wakili na Afisa Sheria wa Tume hiyo, Simon Hillonga, amesema waajiri wanapaswa kuweka makubaliano ya maandishi na wafanyakazi wao na kuhakikisha wanayatekeleza. Kwa upande wake Afisa Mchunguzi Mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Kanda ya Magharibi, Raphael Mavunde, amewaomba wafanyakazi wa majumbani wenye malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki zao kuyafikisha katika Tume hiyo ili waweze kupata msaada wa kisheria. 📻 Sikiliza Uyui FM Radio popote ulipo duniani, bofya kiungo (link) kwenye bio yetu. #TunasambazaUnyamwezi #2026Fanikisha #ufr #tabora