Mwezi Unang'aa Sana / The Moon Shines Bright
Alama Art and Media Production
0:00 / 0:00
Mwezi Unang'aa Sana / The Moon Shines Bright
7 951 просмотр · 5 лет назад
Alama Art and Media Production
2,61 тыс. подписчиков
7 951 просмотр · 5 лет назад
Leo kumepambazuka vyema, upepo mwanana unapuliza na angani hakuna wingu hata moja. Watoto wote wako njiani kuelekea shule... lakini kwenye kivuli chini ya mti, kuna msichana mdogo ameketi peke yake akitamani kujiunga nao. Lakini anahisi kwamba hawatamkubali. Hii ni hadithi ya jinsi ambavyo msichana mdogo aitwaye Mwezi alivyojifunza kujiamini, kuacha uwoga, na kugundua kuwa alikuwa na uwezo mkubwa ndani yake kuliko alivyodhania.- - - It’s a beautiful, sunny day. All the children are out and about on their way to school… but in the shade under a tree, a little girl sits alone wishing that she could join them. But she doesn’t feel like she belongs. This is a story of how the little girl, Mwezi, learned to believe in herself, stopped being afraid, and discovered that she was capable of much more than realised.