Перейти к содержимому

LIVE: LISSU ATOA KAULI NZITO AKIWA MAHAKAMNI BILA HOFU | MAWAKILI WAFUNGUKA ZAIDI...

HARAKATI TV

0:00 / 0:00

LIVE: LISSU ATOA KAULI NZITO AKIWA MAHAKAMNI BILA HOFU | MAWAKILI WAFUNGUKA ZAIDI...

21 469 просмотров · Трансляция закончилась 2 месяца назад
HARAKATI TV
98,7 тыс. подписчиков
21 469 просмотров · Трансляция закончилась 2 месяца назад
LIVE: LISSU ATOA KAULI NZITO AKIWA MAHAKAMNI BILA HOFU | MAWAKILI WAFUNGUKA ZAIDI... Kauli ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, “Yataisha” imezua mjadala baada ya kukamilika kwa zoezi la maswali ya dodoso kwa shahidi William Maduhu katika kesi ya Kikatiba namba 7300/2026. Kesi hiyo imefunguliwa Mahakama Kuu, Masjala Kuu ya Dodoma, na Nashon Nkung, William Maduhu pamoja na Paul Kisabo dhidi ya Kamishna Jenerali wa Magereza nchini na wengine, wakipinga suala la mawakili kunyimwa haki ya faragha wanapowatembelea wateja wao gerezani. Leo Mahakama Kuu imeendelea na shauri hilo jijini Dar es Salaam, huku maswali ya dodoso kwa shahidi William Maduhu yakikamilika. Baada ya hapo, shauri limeahirishwa na litaendelea kesho kwa ajili ya maswali ya dodoso kwa mashahidi wengine. Je, kauli ya Tundu Lissu “Yataisha” inaashiria nini? Kesi hii itaishia wapi? Tazama video hii hadi mwisho kwa uchambuzi na taarifa zaidi. Usisahau KUSUBSCRIBE Harakati TV, BONYEZA LIKE na SHARE video hii ili kuwafikia wengine. Harakati TV — Sehemu pekee unapoweza kupata habari zilizokiki kila siku bila upendeleo. #TunduLissu #CHADEMA #MahakamaKuu #Tanzania #Lissu #HabariTanzania #HarakatiTV