Перейти к содержимому

LEMA -"LISSU ALINIPIGIA SIMU AKANIAMBIA NIMEMTOSA - CHADEMA KISIWE CHA WACHAGA"

Global TV Online

0:00 / 0:00

LEMA -"LISSU ALINIPIGIA SIMU AKANIAMBIA NIMEMTOSA - CHADEMA KISIWE CHA WACHAGA"

717 просмотров · 2 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
717 просмотров · 2 ч назад
LEMA -"LISSU ALINIPIGIA SIMU AKANIAMBIA NIMEMTOSA - CHADEMA KISIWE CHA WACHAGA" Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CHADEMA, Godbless Lema, amefunguka mazito na kueleza siri ambazo hazijawahi kuwekwa wazi kuhusu mahusiano yake na viongozi wenzake ndani ya chama hicho, akiwemo Tundu Lissu na John Heche. Katika mazungumzo haya, Lema anaweka wazi kilichotokea wakati wa uchaguzi wa ndani ya chama, simu aliyopigiwa na Tundu Lissu akiwa gerezani, na sababu iliyomfanya akatae kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA ili kuzuia chama hicho kuonekana cha ukanda au kabila fulani. Pia, Lema ameeleza undani wa mchango wake kwa John Heche tangu akiwa kijana mdogo, ikiwemo kumnunulia pikipiki na kumtafutia matibabu akiwa mahututi nchini CanadA #GodblessLema #TunduLissu #CHADEMA #JohnHeche #SiasaZaTanzania #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com