Перейти к содержимому

TRUMP AMPIGIA SIMU NETANYAHU WAJADILI SHAMBULIZI JIPYA DHIDI YA IRAN - HOFU YAONGEZEKA

Global TV Online

0:00 / 0:00

TRUMP AMPIGIA SIMU NETANYAHU WAJADILI SHAMBULIZI JIPYA DHIDI YA IRAN - HOFU YAONGEZEKA

10 703 просмотра · 12 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
10 703 просмотра · 12 ч назад
TRUMP AMPIGIA SIMU NETANYAHU WAJADILI SHAMBULIZI JIPYA DHIDI YA IRAN - HOFU YAONGEZEKA Mvutano kati ya Marekani, Israel na Iran unazidi kuongezeka huku kukiwa na hofu ya kuanza upya kwa mashambulizi makubwa Mashariki ya Kati. Rais wa Marekani Donald Trump na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu wameripotiwa kufanya mazungumzo kuhusu uwezekano wa mashambulizi mapya dhidi ya Iran. Wakati huo huo, juhudi za kidiplomasia zikiongozwa na Qatar zinaendelea mjini Doha kujaribu kuzuia vita kurejea. #MarekaniNaIran #DonaldTrump #BenjaminNetanyahu #HabariZaKimataifa #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com