Перейти к содержимому

Dc Handeni atangaza kiama kwa wavunaji Misitu faini milioni 10,miaka miwili jela

Mwananchi Digital

0:00 / 0:00

Dc Handeni atangaza kiama kwa wavunaji Misitu faini milioni 10,miaka miwili jela

650 просмотров · 4 г. назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
650 просмотров · 4 г. назад
Serikali wilayani Handeni mkoani Tanga imetangaza mwananchi yeyote ambae atakamatwa akikata miti kwenye misitu ya hifadhi na maeneo mengine bila kibali,atatozwa faini ya shilingi milioni 10 au kifungo cha miaka miwili jela. Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Handeni Siriel Mchembe akiwa katika kijiji cha Gole kata ya Kang'ata kwenye kikao na wananchi kilichoandaliwa na wataalam wa misitu kutoka ofisi za TFS na Forvac na kueleza kuwa wapo wananchi wanakata misitu kwa kisingizio cha kufyeka mashamba lakini wanavuna mbao na mkaa bila kibali.