DC Handeni akabidhiwa madarasa,atoa onyo wanafunzi kufanyishwa kazi za ndani
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
DC Handeni akabidhiwa madarasa,atoa onyo wanafunzi kufanyishwa kazi za ndani
307 просмотров · 4 года назад
Mwananchi Digital
1,22 млн подписчиков
307 просмотров · 4 года назад
Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga Siriel Mchembe amewaonya wazazi ambao hawatapeleka watoto shuleni na badala yake kuwatafutia kazi za ndani,kwamba atawachukulia hatua.
Mchembe amesema hayo wakati akipokea madarasa mapya yaliyojengwa kupitia fedha za kampeni ya maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19 kutoka katika Halmshauri za mji na wilaya ya Handeni.