Jicho la Tatu ni nini? Jinsi ya Kukifungua kwa Maisha Bora (Third Eye Awakening) Part 2
Rakims Spiritual
0:00 / 0:00
Jicho la Tatu ni nini? Jinsi ya Kukifungua kwa Maisha Bora (Third Eye Awakening) Part 2
13 045 просмотров · 1 год назад
Rakims Spiritual
45,4 тыс. подписчиков
13 045 просмотров · 1 год назад
#Rakimsspiritual #JichoLaTatu #ThirdEye #Meditation #Chakra #SpiritualAwakening #AjnaChakra #Kundalini #EnergyHealing #SpiritualJourney #SwahiliSpirituality #GuidedMeditation #ChakrasExplained
✨ Jicho la Tatu ni nini? Na jinsi ya kulifungua kwa usahihi?
Hii ni sehemu ya pili ya mfululizo wa Chakra ya Sita (Third Eye) ambapo tunazungumzia kwa kina: maana ya jicho la tatu, faida zake, changamoto zake na matokeo ya kulifungua.
👉 Tazama Video: • Jicho la Tatu ni nini? Jinsi ya Kukifungua...
📌 YALIYOMO KWENYE VIDEO HII:
00:00 – Intro
03:26 – Muongozo: Jicho la tatu ni nini?
12:10 – Jicho la tatu (Chakra ya ngapi?)
12:30 – Ni chakras ngapi zipo?
13:31 – Hatari za kufungua Jicho la tatu
14:40 – Ufafanuzi: Jicho la tatu ni nini?
18:30 – Utapata nini ukifungua Jicho la tatu?
24:00 – Matokeo ya kufungua Jicho la tatu
🔮 KUHUSU PLAYLIST HII
Katika playlist ya Chakras utafundishwa hatua kwa hatua:
Elimu ya Jicho la Tatu
Sheria na taratibu za kufungua Jicho la Tatu
Hatua za kufikia Crown Chakra (kilele cha mafanikio ya meditation)
👉 Angalia Playlists zote hapa:
/ @rakimsspiritual
Kwa wanaotaka kuanza moja kwa moja:
▶️ Jinsi ya Kufungua Jicho la Tatu (Part 1)
• Jinsi ya Kufungua Jicho la tatu. (Meditation)
📖 MAELEZO ZAIDI
Jicho la Tatu ni Chakra ya sita, moja kati ya vituo maarufu vya nishati mwilini.
💬 USISAHAU:
✔️ Subscribe kwa video zaidi kuhusu meditation na spiritual growth
✔️ Like 👍 ikiwa imekusaidia
✔️ Comment ✍️ uzoefu wako na meditation
🙏 Asante kwa kuunga mkono safari hii ya kiroho.
Rakims S.
Zipo chakras 7 kwa jumla (kama hujazitambua, rejea kwenye video hizi: • Chanzo cha Nguvu yako ya SIRI .
Kufikia Crown Chakra ni hatua ya juu zaidi ya safari ya kiroho – si mwisho wa safari bali mwanzo wa hekima kubwa zaidi.