Usafi wa Mazingira Wapewa Kipaumbele Manispaa ya Musoma
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
Usafi wa Mazingira Wapewa Kipaumbele Manispaa ya Musoma
128 просмотров · 7 дн. назад
UTV Tanzania
188 тыс. подписчиков
128 просмотров · 7 дн. назад
Manispaa ya Musoma mkoani Mara, yenye wakazi 164,172 kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022, inaendelea kusisitiza umuhimu wa usafi wa mazingira katika shughuli za kila siku za wananchi.
Hatua hiyo inalenga kuifanya Manispaa ya Musoma kuwa safi na kuzuia magonjwa ya mlipuko, ikiwemo yanayoweza kusababishwa na utupaji usio salama wa uchafu wa vyooni unaofanywa na baadhi ya wananchi.
Fuatilia Makala hii ili uweze kufahamu mikakati ipi inafanyika katika kuhakikisha hilo.