Перейти к содержимому

MBOWE ASEMA -"WENGINE WANATUTISHA KIDOGO - VIJIJINI HAWASTAHILI MAMBO MAZURI?"

Global TV Online

0:00 / 0:00

MBOWE ASEMA -"WENGINE WANATUTISHA KIDOGO - VIJIJINI HAWASTAHILI MAMBO MAZURI?"

4 507 просмотров · 3 ч назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
4 507 просмотров · 3 ч назад
MBOWE ASEMA -"WENGINE WANATUTISHA KIDOGO - VIJIJINI HAWASTAHILI MAMBO MAZURI?" Mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ametoa hotuba nzito akifunguka kuhusu safari ya ujenzi wa kanisa la kisasa kijijini na changamoto walizopitia wakati wa maono hayo. Mbowe ameeleza namna baadhi ya watu walivyokuwa na mashaka kama jengo la kifahari kiasi hicho lingefaa kujengwa kijijini badala ya maeneo kama Masaki, Dar es Salaam. Tazama video hii mwanzo hadi mwisho kusikia maelezo yake kuhusu ardhi ya zaidi ya eka 50, malengo ya miradi ya maendeleo kijijini, na sababu za kupigania huduma bora kwa wananchi wote bila kujali eneo wanalotoka #FreemanMbowe #Mbowe #HabariZaSiasa #GlobalTVOnline ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com