AYA HII HAIZUNGUMZI KUGUSA MSAHAFU,(لايمسه الا الطهرون)
USTADH HUDHEIFA
0:00 / 0:00
AYA HII HAIZUNGUMZI KUGUSA MSAHAFU,(لايمسه الا الطهرون)
318 просмотров · 1 месяц назад
USTADH HUDHEIFA
4,29 тыс. подписчиков
318 просмотров · 1 месяц назад
56:79) mara nyingi hutumika kama dalili kwamba mtu asiye na udhu haruhusiwi kugusa msahafu.
Lakini je, kweli aya hii inazungumzia kugusa msahafu uliopo mikononi mwa watu?
Katika video hii tunachunguza aya za Al-Waqi‘ah 56:77–79, hasa maneno “فِي كِتَابٍ مَكْنُونٍ”, na kuangalia muktadha wa aya kabla ya kutoa hukumu.