MKE WA BILIONEA MSUYA AIBUA MAPYA MAHAKAMANI, ADAIWA KUTESWA NA KUPIGWA, MAHAKAMA YATOA UAMUZI HUU
Global TV Online
0:00 / 0:00
MKE WA BILIONEA MSUYA AIBUA MAPYA MAHAKAMANI, ADAIWA KUTESWA NA KUPIGWA, MAHAKAMA YATOA UAMUZI HUU
27 487 просмотров · 4 г. назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
27 487 просмотров · 4 г. назад
MKE WA BILIONEA MSUYA AIBUA MAPYA MAHAKAMANI, ADAIWA KUTESWA NA KUPIGWA, MAHAKAMA YATOA UAMUZI HUU
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali hoja tatu zilizotolewa na upande wa utetezi katika kesi inayomkabili mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita na mfanyabiashara Revocatius Muyella.
Akitoa uamuzi huo Jaji Edwin Kakolaki katika kesi ndogo iliyotokana na mshtakiwa Mrita kupinga maelezo yake ya onyo wakati shahidi wa kwanza katika kesi ya msingi namba103/2018 akitoa ushahidi wake mahakamani
Akitoa uamuzi wake Jaji Kakolaki amesema mshtakiwa Mrita alipinga kupokelewa kwa maelezo ya onyo akitoa sababu tatu ikiwemo, kuteswa, kuchuliwa maelezo nje ya muda uliowekwa kisheria pamoja na kutopewa haki za msingi wakati wa kuandika maelezo hayo.
Amesema upande wa Jamuhuri ukipngozwa na wakili Mwandamizi Erick Tesha wakishirikiana na Wakili Mwandamizi , Gloria Mwenda na Caroline Matemo walikuwa na mashahidi watatu akiwemo WP 4707 Sajenti Mwajuma, na Deogratius kallanga ambaye ni daktari katika hospitali ya Temeke.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline