Перейти к содержимому

Tahadhari ya El Nino ichukuliwe kwa uzito

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Tahadhari ya El Nino ichukuliwe kwa uzito

3 008 просмотров · 1 день назад
UTV Tanzania
181 тыс. подписчиков
3 008 просмотров · 1 день назад
Mtaalamu wa Masuala ya Hali ya Hewa, Dkt.Baruan Mshale amesema kuwa katika kujiandaa na mvua za El nino mandalizi yanapaswa yaanzie katika ngazi ya kaya kwa mtu mmoja mmoja mwenye uwezo kisha serikali inapaswa iweke jitihada kwa kuhakikisha wananchi wanafuata yale ambayo watayaona kuwa yanafaa na kuhakikisha wanaweka utaratibu madhubuti ili kupunguza maafa pale yanapotokea. Aidha amesema kuwa matukio haya hayapaswi kupuuzwa na kuchukuliwa kwa wepesi kwani majanga huwa haya tabiriki na huja tofauti na yale yaliyopita kutokana na wakati uliopo sasa.