UCHANGANUZI | Kupitishwa kwa muswada wa sheria ya mikopo ya dhamana za mali zinazohamishika
UTV Tanzania
0:00 / 0:00
UCHANGANUZI | Kupitishwa kwa muswada wa sheria ya mikopo ya dhamana za mali zinazohamishika
365 просмотров · 10 часов назад
UTV Tanzania
181 тыс. подписчиков
365 просмотров · 10 часов назад
Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Mikopo kwa Dhamana za Mali Zinazohamishika wa mwaka 2026, unaolenga kuweka mfumo bora wa usimamizi wa mikopo inayotolewa kwa kutumia mali zinazohamishika kama dhamana.
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar aliyewasilisha muswada huo Bungeni, amesema sheria hiyo itarahisisha upatikanaji wa mikopo na kuchochea shughuli za kiuchumi, sambamba na kuongeza fursa za ajira nchini.
Kwa mujibu wa Serikali, sheria hiyo inalenga pia kuongeza idadi ya watanzania wanaotumia huduma rasmi za kibenki hadi kufikia asilimia 50 ifikapo mwaka 2030, kutoka asilimia 22 mwaka 2023.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi