Перейти к содержимому

NGUVU YA UTHUBUTU: Baada ya Miaka saba ya kusubiri, hatimaye nimeanza YouTube!!!

Coach Rahabu

0:00 / 0:00

NGUVU YA UTHUBUTU: Baada ya Miaka saba ya kusubiri, hatimaye nimeanza YouTube!!!

110 просмотров · 1 мес. назад
Coach Rahabu
34 подписчика
110 просмотров · 1 мес. назад
Je, kuna ndoto ambayo umekuwa ukiiahirisha kwa muda mrefu? Hauko peke yako!!! Nilipokuwa napanga kurekodi video ya kwanza ya YouTube channel yangu, usiku mmoja kama saa nane nilifanya recording ya majaribio tu (ambayo ilikua hii video). Kesho yake nikajiuliza, "Kwa nini nisiipost hii?" kwasababu niligundua kwamba huu ndio ujumbe ninaotaka kuishi nao: hauhitaji kuwa mkamilifu wala kusubiri mazingira sahihi ili kuanza safari yako ya kujijenga kuwa bora. Kwa hiyo nimeamua kuiacha video hii hapa, iwe kumbukumbu ya mwanzo wa safari yangu, na pia iwe ukumbusho kwako kwamba hatua ya kwanza ndiyo muhimu kuliko kusubiri ukamilifu. Na pia, naiacha hapa kwa ajili ya **Rahabu wa baadaye**. Natamani nirudi kuitazama miaka ijayo na kuona ni kwa kiasi gani nimekua kama content creator na kama mtu. Karibu kwenye Living With Coach Rahabu, mahali ambapo tutajifunza kuhusu maendeleo binafsi, fedha, nidhamu ya maisha, vitabu, biashara na kujenga maisha yenye kusudi. Tukutane kwenye video ijayo, tuone pamoja nitakuwa nimepiga hatua gani katika safari hii. 💬 **Swali la leo: Ni ndoto gani umekuwa ukiiahirisha, na ni hatua gani utaichukua leo? Usisahau *Like, Subscribe* na kuwasha *Notifications* ili tuendelee kukua pamoja. "Uwe hodari na moyo wa ushujaa... kwa maana Bwana Mungu wako yu pamoja nawe kila uendako." — Yoshua 1:9 #LivingWithCoachRahabu #NguvuYaUthubutu #SwahiliYouTube #MaendeleoBinafsi #kenya #tanzania