Перейти к содержимому

MAMBO 6 NINGEMWAMBIA RAHABU WA MIAKA 20: Siri za Mafanikio kwa Vijana

Coach Rahabu

0:00 / 0:00

MAMBO 6 NINGEMWAMBIA RAHABU WA MIAKA 20: Siri za Mafanikio kwa Vijana

46 просмотров · 2 дн. назад
Coach Rahabu
34 подписчика
46 просмотров · 2 дн. назад
Kama ningepata nafasi ya kurudi nyuma na kukaa na Rahabu wa miaka 20, nisingemwambia aache kufanya makosa yote, kwa sababu baadhi ya makosa ndiyo yaliyomfanya kuwa mwanamke imara aliyepitia mafunzo ya maisha. Katika video hii, ninafichua mambo 6 muhimu ya maisha ambayo kila kijana anapaswa kuyasikia. Kama unatafuta siri za mafanikio kwa vijana, jinsi ya kujenga maisha ya baadaye, au unataka kujua jinsi ya kutimiza ndoto zako, ujumbe huu ni kwa ajili yako! Maisha hayahitaji uwe na majibu yote leo, lakini unaweza kuanza kujenga maisha ambayo siku moja utajivunia. ✨ Mambo 6 ya Kujifunza Katika Video Hii: 1. Kujitambua na kujishughulisha mapema. 2. Jinsi ya kujenga future yako kifedha na kuwa na picha kubwa ya maisha yako – your life and future plans. 3. Kubali changamoto za maisha - Siku nzuri na siku ngumu. 4. Jifunze kusamehe, kuachilia, na kutojihukumu. 5. Tafuta greatness, kuwa mtu mwema, na kuacha impact. 6. Katika yote, usimwache Mungu. 🔔 SUBSCRIBE kwenye chaneli hii kwa video zaidi za hamasa ya mafanikio, ushauri wa maisha, na jinsi ya kujenga uchumi na uhuru wa kifedha 📱 TUUNGANE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII: Instagram: @coachrahabu TikTok: @coachrahabu #UshauriWaMaisha #HamasaYaMafanikio #Kujitambua #UhuruWaKifedha #Rahabu #MaleziNaMaisha #VijanaNaMafanikio #MaishaYaMiaka20