RAMANI HII ITAKUONGEZEA KIPATO CHAKO KWA 80% | UWEKEZAJI | Vitega Uchumi (Part 2) ~ Emilian Busara 💰
Hub of Wisdom Inc.
0:00 / 0:00
RAMANI HII ITAKUONGEZEA KIPATO CHAKO KWA 80% | UWEKEZAJI | Vitega Uchumi (Part 2) ~ Emilian Busara 💰
4 654 просмотра · 2 недели назад
Hub of Wisdom Inc.
136 тыс. подписчиков
4 654 просмотра · 2 недели назад
Angalia Part 1 hapa: • KWA RAMANI HII UTAJENGA MAFANIKIO KIUCHUMI...
Angalia Part 3 hapa: • 💰ILI UKUE KIFEDHA; SIMAMIA HII MISINGI MIT...
Je, unataka kujenga mafanikio ya kweli kiuchumi? Katika sehemu hii ya pili, Emilian Busara anaelezea kuhusu uwekezaji na mambo mengine yaliyopo katika mtiririko wa mikakati ya msingi inayoweka ramani sahihi ya safari yako ya kifedha na kukusaidia kujenga utajiri kwa mkakati, si kwa bahati. Pia anatoa vitega uchumi vitakavyokusaidia kuwa na chanzi zaidi ya kimoja cha mapato.
📌 Tazama video hadi mwisho ili usikose hatua hizi muhimu.
👉 Usikose Part 3, ambapo ataendelea kufafanua vipaumbele katika kukamilisha ramani yako ya mkakati wa mafanikio yako kiuchumi.
👍 Like • 💬 Comment • 📤 Share • 🔔 Subscribe kwa H.W Media kwa mafunzo zaidi kuhusu fedha, biashara na maendeleo binafsi.
Tuandikie maoni yako kwenye comment section au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na mijadala katika kundi letu la WhatsApp au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media
------------------------
Video Credits: CCWC Church Media
#EmilianBusara #MafanikioKiuchumi #Uwekezaji #Biashara #FinancialFreedom #HWMediaTuandikie