Перейти к содержимому

MCHUZI WA NYAMA YA N'GOMBE - KISWAHILI

Aroma Of Zanzibar & Beyond

0:00 / 0:00

MCHUZI WA NYAMA YA N'GOMBE - KISWAHILI

599 923 просмотра · 9 лет назад
Aroma Of Zanzibar & Beyond
253 тыс. подписчиков
599 923 просмотра · 9 лет назад
Mahitaji: Nyama/kuku - Pound 1 /535gms Mafuta ya kupikia - Vijiko 2 na 1/2 Kitunguu maji - kiasi kikombe 1 Kitunguu thom/tangawizi - kijiko 1 kikubwa Bizari ya mchuzi - vjk 2 vidogo Nyanya 3 za kiasi - kikombe 1 Nyanya ya kopo (paste) - vjk 2 vidogo Ndimu/limao 1 mbatata - kiasi 2 majani ya kotmiri - kiasi ( kama utapenda) Chumvi kiasi Viungo vya unga vya bizari ya mchuzi 1/4 tsp bizari ya manjano 1 tsp giligilani 1 1/2 tsp bizari nyembamba 1 tsp Mdalasini 1 tsp tangawizi kavu 1/2 tsp hiliki 1/4 tsp karafuu 1/4 tsp kungumanga 1/4 tsp Pilipili manga