Jinsi Kupika Pilau la Kiswahili Kwa Tui la Nazi
JIKONI CHANNEL
0:00 / 0:00
Jinsi Kupika Pilau la Kiswahili Kwa Tui la Nazi
186 617 просмотров · 9 лет назад
JIKONI CHANNEL
21,8 тыс. подписчиков
186 617 просмотров · 9 лет назад
Pilau - My version
MAHITAJI
1. Mchele 1/2 kg
2. Vitunguu maji 2 - katakata
3. Vitunguu swaumu - punje 4 - katakata au twanga
4. Nyama - 1/2 kg
5. Chumvi kiasi upendacho
6. Mafuta ya kula vijiko 4 vya mezani
7. Tui La Nazi
8. Pilau Masala vijiko 2 vya mezani
9. Mahanjumati masala kijiko 1 cha mezani