Mtaji wa ELFU 60 hadi kumiliki VILA [RAS MALIK] BIOGRAPHY EPISODE 5
Saleh Marike
0:00 / 0:00
Mtaji wa ELFU 60 hadi kumiliki VILA [RAS MALIK] BIOGRAPHY EPISODE 5
11 279 просмотров · 2 нед. назад
Saleh Marike
2,39 тыс. подписчиков
11 279 просмотров · 2 нед. назад
Katika Episode hii ya 5 ya BIOGRAPHY
leo tumepata bahati ya kupiga stori na Malik Issa (Ras Malik) hapa alituelezea mengi yenye faida hasa wakati wa ujana na mapito ya kujitafuta.
Akiwa kijana mdogo mwenye umri wa miaka 16 aliondoka nyumbani,alianza fikra na azma ya kuifikia ndoto yake,katika kujitafuta huko mengi aliyapitia yakiwemo kunyanganywa haki zake,kupoteza muelekeo ,kuchekwa sambamba na kunyoshewa vidole na marafiki ambao yeye aliwaamini,amepitia mambo mengi ambayo simulizi yake yote utaipata ndani ya kipindi hiki.
Miongoni mwa tuliyozungumza nae ni pamoja na:-
Changamoto za Maisha ya Ujana
Kujiamini katika jambo unaloliamini
Huruma na upendo kwa waliokuzunguka
Kukatishwa Tamaa
Msimamo katika maamuzi
Kukamilisha miipango uliojiwekea.
Kushukuru.
TAFADHALI TWAMBIE,UMEJIFUNZA KUPITIA KIPINDI HIKI?
Ili usipitwe na vipindi vijavyo vya BIOGRAPHY nakusihi
Subscribe Channel yetu ili upate taarifa kila tunpoweka chapisho jipya.
Weka maoni yako na itapendeza Uki share na wengine ili wafaidike na vipindi hivi.
#motivation #views #foryou @vijanabarubaru @milardayo269 @azamtvtz@divatheseries @Wasafi_Media