LINDA MWANANCHI YAPANUA MIZIZI YAKE UKANDA WA PWANI
COCO FM RADIO
0:00 / 0:00
LINDA MWANANCHI YAPANUA MIZIZI YAKE UKANDA WA PWANI
3 292 просмотра · 9 ч назад
COCO FM RADIO
18,4 тыс. подписчиков
3 292 просмотра · 9 ч назад
Mwelekeo wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 unaendelea kuchukua sura mpya, huku chama cha Linda Mwananchi kikizidisha juhudi za kupanua ushawishi wake katika ukanda wa Pwani.
Wafuasi wa chama hicho sasa wanaitaka jamii ya Pwani kuunga mkono azma ya Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna kuwania urais, wakimtaja kama kiongozi anayesimamia maslahi ya vijana na utetezi wa Katiba.
#MionziyaCocoFM
#COCOFM
#ladhayapwani