HUKUMU YA LISSU INA UTATA? - MWANASHERIA APASUA JIPU, AELEZA NJIA YA RUFAA ILIVYO WAZI!
Global TV Online
0:00 / 0:00
HUKUMU YA LISSU INA UTATA? - MWANASHERIA APASUA JIPU, AELEZA NJIA YA RUFAA ILIVYO WAZI!
3 403 просмотра · 1 ч назад
Global TV Online
5,99 млн подписчиков
3 403 просмотра · 1 ч назад
HUKUMU YA LISSU INA UTATA? - MWANASHERIA APASUA JIPU, AELEZA NJIA YA RUFAA ILIVYO WAZI!
Katika uchambuzi huu wa kina, mwanasheria anafafanua masuala mazito ya kisheria kufuatia hukumu ya Tundu Lissu. Anaeleza kwa undani jinsi kosa la uchochezi lilivyoshughulikiwa badala ya uhaini, iwapo haki ya mshtakiwa kusikilizwa na kufanya dodoso (cross-examination) ilizingatiwa kulingana na Ibara ya 13(6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na kwanini kesi hii bado haijaisha na inaweza kwenda Mahakama ya Rufani.
#HukumuYaLissu #TunduLissu #GlobalTV #UchambuziWaKisheria #Chadema #HabariZaMahakamani
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com